Sunday, 31 May 2015




namna Anion inavyofanya kazi katika kizazi cha mwanamke
Neplily pad na pantiliner

kalenda ya mzunguko wa siku 28



MZUNGUKO WA HEDHI NI MZUNGUKO WA KILA MWEZI AMBAO HULETA KUTOKWA NA DAMU UKENI KUTOKANA NA MIMBA KUTOTUNGWA. KWA KAWAIDA HEDHI YA KWANZA HUTOKEA KATIKA UMRI WA MIAKA 12 -13. MZUNGUKO HUU WA HEDHI HUWA UNADHIBITIWA NA HOMONI ZINAZOZALISHWA NA MWILI.HEDHI HUTOKEA PALE AMBAPO TISHU ZA UKUTA WA MJI WA MIMBA UNABOMOKA NA KUTOKA KAMA DAMU UKENI.
Kila mwezi ovari za mwanamke huzalisha yai moja la uzazi. Yai hili huweza kukaa kwa muda mpaka wa masaa 36 ndani ya mirija na tumbo la uzazi. Inapotokea yai hili halijarutubishwa, ukuta wa mji wa uzazi hubomoka na kutoka kwa njia ya uke pamoja na damu. Hali hii huitwa hedhi.
Mzunguko wa hedhi huanza kuhesabiwa siku ya kwanza mwanamke anapoanza kupata siku zake.
Urefu wa Mzunguko wa hedhi
Mzunguko wa hedhi huwa na siku 21 mpaka 35, zaidi au chini ya hapo huashiria tatizo. Mwanamke huwa katika hedhi kwa wastani wa siku 3 -7, zikizidi zaidi ya siku 7 kwenye hedhi huweza kuashiria tatizo.
Namna mzunguko wa hedhi ulivyo
katika mfano huu tutachukulia mzunguko wenye wastani wa siku 28.
Siku ya 1 mpaka 5 ni kipindi ambacho mwanamke anaingia kwenye hedhi yake, huu ni mwanzo wa mzunguko wa hedhi. Kipindi hiki ukuta wa mji wa mimba hubomoka na kutoka pamoja na damu ukeni kama damu ya hedhi. Homoni za istrojeni na projesteroni huwa zimepungua.
Kipindi kinachofuta cha siku ya 6 mpaka 14 huwa ni kipindi ambacho ukuta wa mji wa uzazi huanza kujengwa tena kuundaa kwa ajili ya kupokea kiini tete. homoni ya istrojeni huwa kwa wingi na hudhiti shughuli hii.
Yai la uzazi huzalishwa (Ovulation) siku ya 14 ya mzunguko, na huweza kukaa kwa masaa 36. yai hili hutoka kwenye ovari na kusafiri kwenye mrija wa uzazi.
Kipindi kinachofuata cha siku ya 15 mpaka 28 homoni ya projesteroni huzalishwa kwa wingi na kazi yake huwa ni kuutunza ukuta wa mji wa mimba.
Ikitokea yai la uzazi halijarutubishwa na mbegu za kiume, homoni ya projesteroni hupungua mwishoni mwa mzunguko. Kupungua kwa homoni hii husababisha ukuta wa mji wa mimba kuanza kubomoka, hali hii husababisha kutoka kwa damu ukeni na kuashiria kuanza kwa mzunguko mwingine wa hedhi.
Kiasi cha damu katika hedhi
Kwa kawaida katika hedhi damu inayotoka huwa na rangi ya  na huwa haina mabonge. Kiasi cha damu kinachopotea kwa njia hii ni mili lita 35 mpaka 50 kwa siku. Ni sawa na kutumia pedi 2 ambazo hazijaloa damu kabisa.
Siku salama na Siku za hatari.
Watu wengi hupenda kujua siku salama ambazo mwanamke hawezi kupata ujauzito au hatari ambazo mwanamke anaweza kupata ujauzito. Unaweza kuzijua siku salama kama mzunguko wa mwanamke haubadiliki. 
MATATIZO YAWAPATAYO WANAWAKE WAKATI WA HEDHI
Kichwa kuuma
Maumivu ya tumbo
Kukosa hamu ya kula
kusikia kichefuchefu na hata wakati mwingine kutapika
kuingia hedhi zaidi ya siku 7
MATATIZO YANAWEZA TIBIKA KWA PAD YA NEPLILY
Neplily Ped ni nini?
Asili ya Jina la Neplily imetokana na muunganiko wa majina mawili ambayo ni
“Nep” kutoka kwa neno ambalo ni jina la kampuni ya  NEPTUNUS
“Lily” kutoka kwa maua yaitwayo Lily
Maua ya Lily ni kivutio kikubwa hasa kwa wanawake.
Mara nyingi maua haya hutumiwa kuonyesha ishara ya urembo, uzazi, upendo, huruma, na usafi yaani mambo yote wanawake  wanayohusika nayo na kupenda.
Pads za Neplily zimetengezwa na cotton material iliyo laini na ina uwezo wa hali ya juu kufyonza hedhi kwa haraka. Hii inamfanya mwanamke kuwa na faraja na uhuru.
Imewekwa anion plate: ambayo imewekwa katikati ya pamba nyepesi,na hii anion plate ikilowa damu tu inafyonza damu yote na kuruhusu upepo upenye ili kuondia joto na unyevu unyevu na kusababisha bakteria kukosa sehemu ya kuotea.Baada ya pedi hii ya Neplily kupata unyevu  unyevu inaanza kusambaza anions kupanda na kuingia kwenye kizazi,mirija yauzazihadikwenyedamupia.

ANIONS hizi hutokana na natural forces yaani nguvu asili kama maporomoko ya maji makali,upepo mkali,mionzi mikali inapokuwa inapiga molekyuli za hewa husababisha kuzalishwa kwa chembechembe hasi ambazo huitwa Anion ambazo ni tiba tosha katika mwili wa binadamu.
Kazi kubwa ya anions hizi ni;
Inazuia Urinary Tract Infections (UTIs)
Inarudisha mzunguko wa hedhi kwa mwanamke.
Inaondoa maumivu ya tumbo wakati wa hedhi.
Inatibu fungus na miwasho katika sehemu za siri.
Ina uwezo wa kunata chupi vizuri ili kuzuia kuteleza. Hivyo kumfanya mwanamke kuwa huru bila ya kuwa na wasi wasi.
Pembeni yake kuna vishikio vinavyosaidia kushika chupi vizuri na kuzuia kuvuja kwa pembeni (side leakage).
usihangaike tena na matatizo wakati wa hedhi jipatie neplily mkombozi wa wanawake.

KWA MAHITAJI YA PEDI NIPIGIE +255 787 218 159/764 218 159

0 comments:

Post a Comment