Shinikizo la damu ni nini?
Shinikizo la damu/BP ni ugonjwa unaosumbuwa watu wengi sana duniani na hii ni kutokana na kutokujuwa ni nini hasa husababisha ugonjwa huu mwilini. Shinikizo la damu linaonekana kuwa ni ugonjwa wa kuishi kwa kufuata masharti kitu ambacho sicho kwani unaweza kutibika na kuponywa kabisa.
Uanishaji wa shinikizo la damu
- Presha ya kawaida <120 <80
- Presha inayoelekea kupanda 120-139 80-89
- Presha hatua ya 1 140-159 90-99
- Presha hatua ya 2 160-179 100-109
- Presha hatua ya 3 ≥180 ≥110
Shinikizo la damu (hasa la juu) ni kiashiria cha mwili kupungukiwa maji kwa kiwango kikubwa, ni wakati ambapo mwili unajaribu kujizoesha na upungufu wa jumla wa maji wakati kunapokuwa hakuna maji ya kutosha kuijaza mishipa ya damu yenye kazi ya kusambaza maji kwenye seli mhimu.
Wakati mwili unapokuwa katika upungufu wa maji kwa mfano kutokana na kutokunywa maji ya kutosha; asilimia 66 ya kuishiwa maji inajionesha kwa kupungua kwa ujazo wa seli, asilimia 26 inapotea toka ujazo wa umajimaji uliopo sehemu ya nje ya seli na asilimia 8 tu inapotea toka katika ujazo wa damu.
Shinikizo la juu la damu ni kiashirio cha mwili kupungukiwa maji kwa asilimia 8 tu, lakini madhara yanajitokeza sababu ya asilimia 66 ya kupunguwa kwa ujazo wa seli. Maji na chumvi vitalirudisha shinikizo la damu katika hali yake ya kawaida, Hii ndiyo sababu shinikizo la damu linapaswa kutibiwa kwa kuongeza unywaji wa maji pekee, Maji peke yake, ni dawa bora ya kukojosha, pekee ya asili tuwezayo kuiendeleza.
Asilimia 94 ya damu ni maji. Kwa ujumla kila seli ndani ya miili yetu ina bahari ya maji baridi ndani yake na bahari ya maji chumvi nje yake. Afya bora inategemea uwiano mzuri wa maji ya bahari hizo mbili.
Vitu vifuatavyo vinaweza kusababisha shinikizo la juu la damu:
- Uvutaji sigara
- Unene na uzito kupita kiasi
- Unywaji wa pombe
- Upungufu wa madini ya potassium
- Upungufu wa vitamin D
- Umri mkubwa
- Ongezeko la kemikali kwenye figo (renin)
- Kushindwa kufanyakazi kwa kichocheo kiitwacho insulin
Maji na chumvi kwa pamoja vitalirudisha shinikizo la damu katika hali yake ya kawaida. Kuikimbia chumvi kunasababisha shinikizo la damu (BP) kuwa sehemu ya maisha yetu, tutapata nafuu, lakini baada ya muda mfupi hali hurudi ileile na pengine kuwa watumwa wa kuchagua kula hiki au kile.
Tofauti na zamani ambapo shinikizo la juu la damu lilipokuwa ni ugonjwa wa watu wanene au wenye uzito uliozidi pekee, siku hizi wanene kwa wembamba, watoto kwa wakubwa wanaugua BP
Dalili zitakazokutokea unapokuwa na ugonjwa huu ni pamoja na;
- Maumivu ya kichwa (Haswa nyuma ya kichwa mara nyingi nyakati za asubuhi),
- Kuchanganyikiwa,
Kizunguzungu,
- Kelele sikioni (Mvumo au Mazomeo masikioni),
- Kutoweza kuona vizuri au
- Matukio ya kuzirai.
- Uchovu/kujisikia kuchokachoka
- Mapigo ya moyo kwenda haraka
- Kutokuweza kuona vizuri
- Damu kutoka puani
NB:Uonapo dalili hizi unapaswa kuwahi hospitali kupata vipimo.
Madhara yanayoweza kuletwa na shinikizo la damu:
kutokulielewa shinikizo la damu kama moja ya ishara za mwili kupungukiwa maji na kulitibu kwa dawa za kukojosha ambazo zinaukausha mwili zaidi, baada ya muda zitasababisha;
- Kuzibika kwa ateri za moyo na ateri ziendazo kwenye ubongo
- Shambulio la moyo (heart attack)
- Mishtuko midogo midogo au mikubwa inayopelekea kuzimia
- Ugonjwa wa kibofu cha mkojo
- Kiharusi
- Kupungua kwa nguvu za kiume kwa upande wa wanaume
- Kuharibiwa kwa ubongo na matatizo ya akili kama vile kupoteza kumbukumbu (Alzheimer).
maji safi na salama ya kunywa ni dawa.
KAMA UNA SUMBUKA SANA NA UGONJWA HUU BILA SULUHISHO BASI SULUHISHO LIPO.
KARIBU UTAJIPATIA DAWA ZA MIMEA ZILIZOTENGENEZWA KATIKA MFUMO WA VIDONGE KUTOKA THAILAND NA CHINA.
UNAKARIBISHWA SANA.
WASILIANA NA MIMI
+255 787 218 159
+255 764 218 159
0 comments:
Post a Comment