Habari mpendwa msomaji wa makala zangu natumaini ubuheri wa afya.
Karibu tupate mwendelezo wa makala yetu ya uvimbe katika nyumba ya uzazi ya mwanamke.
Makala iliyopita ya sehemu ya kwanza tuliona uvimbe ni nini na unasababishwa na kitu gani na akina nani walioko hatarini kuupata uvimbe huo.
Leo tutaenda kuona namna bora ya kutibu uvimbe na tatizo likakoma kabisa na kutokurudi kabisa.
Kwa siku za hivi karibuni tumekua tukishuhudia wanawake wengi wakifanyiwa upasuaji ili kuondolewa uvimbe katika nyumba zao za uzazi lakini baada ya muda tena uvimbe unakua unajirudia nakuota tena nakujikuta wanarudi tena hospitali kufanyiwa upasuaji na hiyo inakua sehemu ya maisha yako.
NAMNA BORA YA KUTIBU UVIMBE KATIKA NYUMBA YA UZAZI YA MWANAMKE.
Nikwanini unapofanyiwa upasuaji uvimbe unarudi tena?
Uvimbe unaotokea katika nyumba ya uzazi wa mwanamke sio kisababishi bali ni matokeo ya kisababishi cha huo uvimbe na unapokua umenda hospitali unachoenda kutibiwa sio kisababishi bali unatibiwa matokeo yani uvimbe uliosababishwa na vitu flani flani katika mwili wako na ndio mana unaganyiwa upasuaji lakini baada ya muda uvimbe unakua umejirudia tena.
NI IPI SASA NAMNA BORA YA KUTIBU UVIMBE USIJIRUDIE.
Namna bora ya kutibu uvimbe ni kutibu chanzo kinachosababisha uvimbe kutokea katika nyumba ya uzazi wa mwanamke na sio matokeo hivyo kufanyiwa upasuaji sio njia sahihi na bora yakutibu uvimbe katika njia ya uzazi ya mwanamke.
Hivyo kama unauvimbe au umewahi kufanyiwa upasuaji kuondoa uvimbe katika nyumba ya uzazi karibu ujipatie dawa zilizotengenezwa kwa miti shamba miti ya asili ambayo inaenda kutibu kisababishi cha uvimbe na kuondoa uvimbe wote kabisa bila kufanyiwa upasuaji wa aina yoyote ile.
Dose ya dawa zetu inatumika kuanzia mwezi 1-3 na mgonjwa anakua amepona kabisa.
Wasiliana na mimi kwa simu:
0787218159
0764218159
Asanteni.
0 comments:
Post a Comment