Asilmia 80%ya wanawake/wasichana wanasumbuliwa na tatizo hili la kupata maumivu ya tumbo wakati wa hedhi (Periods pain)
PERIOD PAINS ~haya ni maumivu yanayotokea sehem ya chini ya tumbo karibu na kitovu/kiunoni wakati mwanamke anapoanza kupata siku zake
maumivu haya huanza pale mayai yanapotoka ktk mrija (FALOPIAN TUBES) na kuteremka chini ya mirija hiyo wakati wa OVULATION
~maumivu haya huweza kuwa makali (SECONDARY DYSMENORRHEA) au kuwa ya kawaida(PRIMARY DYSMENORRHEA)
A) ~PRIMARY DYSMENORRHEA /MENARCHEA
~haya ni maumivu yasiyokua na sababu maalum, aina hii ya maumivu hutokea sehemu ya chini ya tumbo na kiunoni pia maumivu haya huanza siku moja au mbili kabla ya hedhi na siku ya 3/4 baada ya kuingia katika hedhi.
~maumivu haya hutokana na uongezekaji wa tindikali ya PROSTAGLINDS ambayo hutokea siku chache baada ya yai kupevuka na kufanya misuli kusinyaa hivyo kusinyaa huko kwa tumbo huingiliana na mzunguko wa damu hivyo kusababisha maumivu.
B) SECONDARY DYSMENORRHEA
~haya ni maumivu yanayotokea kutokana na sababu mbalmbal kama vile matatzo katika kizazi, ugonjwa wa nyonga (PID) na matatzo katika mirija ya mayai.
~asilimia 60%ya wanawake/wasichana wanasumbuliwa na tatizo hili na hupata maumivu haya kabla na wakati wa period{hedhi} pia baadhi hupata maumivu haya Zaidi na kupelekea kulazwa na kushindwa kufanya Kazi.
~hii husababishwa na uyoga wa kizazi yani friboids ambayo ni maambukizi sugu ya via vya Uzazi (PID), ENDOMETRIOSIS/OVARIAN CYST na viwambo vya mpango wa Uzazi vinavyoingizwa katika kizazi mfano. VIJITI, VITANZI, VIDONGE VYA KUZUIA MIMBA ambavyo ndani huwa na vichocheo vya PROGESTERON vyenye Madhara mengi mfano ugonjwa wa moyo nk.
DALILI ZA DYSMENORRHEA
1.maumivu makali chini ya kitovu
2.Kuhisi kichefuchefu
3.Kuuma kwa matiti na kuhisi yamejaa au yamevimba
4.Kutapika
5.Kuharisha
6.Damu kutoka ikiwa imeganda
7.Maumivu makali katika kiuno
JINSI YA KUJIKINGA NA DYSMENORRHEA
1.Kula matunda aina ya papai Mara kwa Mara
2.Kula mboga za majani /kotimiri kwa wingi
3.Punguza sodium katika vyakula
4.Acha kuvuta SIGARA
5.Epuka pads zisizo na anions tumia pedi zenye anions zinaitwa NEPLILY SANITARY PAD
6.Epuka vyakula vyenye caffeine na sukari
7.Ondoa stress na epuka kuwaza
KAMA UNASUMBULIWA NA HILI TATIZO NITAFUTE+255{0}787218159/
+255{0}689538628 KWA MAELEZO NA USHAUR ZAIDI
0 comments:
Post a Comment