ALOVERA AU SHUBIRI DAWA YA VIDONDA VYA TUMBO.
Alovera au shubiri kama tulivyozoe Kuita ni mmea unaopatika sehemu nyingi sana na dunia hasa sehemu zisizo na baridi.
Na kwa miaka mingi tumekua tukishuhudia katika jamii zetu mmea huu ukitumika kama dawa ya kutibu na kinga dhidi ya magonjwa kwa binadamu na kwa wanyama na ndege pia.
Kuna aina tofauti tofauti za alovera /shubiri ambazo Zinapatikana katika mazingira yetu tunayoishi na wengine hutumia kama maua katika nyumba zao na wengine hutumia kama dawa.
Na kutokana na mmea huu kuwa mchungu tuliowengi wetu tunaogopa na kushindwa kuutumia kama tiba kutokana na uchungu wake mbali na faida nyingi ulizonazo mmea huu katika kutibu na kukinga miili yetu dhidi ya magonjwa.
Alovera /shubiri ni dawa inayotibu na kuponya kabisa magonjwa yafuatayo
VIDONDA VYA TUMBO NA VIDONDA KATIKA SEHEMU ZINGINE ZA MWILI.
TATIZO LA KUKOSA HAJA (CHOO)
CHUNUSI
MALARIA
KAMA UNASUMBULIWA NA TATIZO LA VIDONDA VYA TUMBO NA HAYO MAGONJWA MENGINE SULUHISHO LIKO HAPA JIPATIE VIDONGE VILIVYOTENGENEZWA KWA ALOVERA AU SHUBIRI ILI KUWEZA KUJITIBU MAGONJWA MABALIMBALI.
HAMNA HAJA YAKUHANGAIKA NA KUNYWA MAJI MACHUNGU YA ALOVERA VIDONGE HIVI VYATOSHA KWANI KIDOGE KIMOJA KINA UJAZO SAWA NA GRAM 20 ZA ALOVERA.
DOSE NI VIDONGE 60 KWA MWEZI MMOJA NA UNATAKIWA KUMEZA KUANZIA MIEZI MITATU NA KUENDELEA KULINGANA NA UKUBWA WA TATIZO LAKO.
WASILIANA NA MIMI KWA SIMU 0787218159
0764218159
KUJIPATIA DAWA HII NA UNATUMIWA POPOTE ULIPO TANZANIA
0 comments:
Post a Comment