UMUHIMU WA UYOGA AINA YA CORDYCEPS SINENSIS KWA AFYA YAKO
Aina hii ya uyoga hupatikana katika milima mikubwa hasa nchini China,Japan,Thailand ambapo wakati wa kiangazi unga wa cordceps sinensis hudondoka na kudondokea mayai ya kipepeo baada ya hapo aina hii ya uyoga hukua kwa kasi wakati wa masika kwa kutumia mayai ya kipepeo kama lishe. Baada ya kukua kwa kasi aina hii ya uyoga hutengeneza na kuimarisha mizizi yake asili na kwa sababu ya uhaba wa hewa ya oxygen mimea hii ni adimu sana kukua na uhaba wake ni mkubwa hivyo mimea hii hujiteng3nezea uwezo mkubwa wa kuhifadhi nishati nyingi sana.
Mimea hii nchini china ndio inayo ongoza kwa kutibu magonjwa mengi sana, Hadi sasa mimea hii inajulikana kama A GIFT FROM GOD (Zawadi kutoka Mungu) hii ni kutokana na uwezo mkubwa wa aina hii ya uyoga kutibu magonjwa mengi sana, na kuupa mwili nguvu,kurudisha hamu ya kula, kurudisha hamu na nguvu ya tendo la ndoa na kutibu magonjwa mbali mbali ya mfumo wa damu na magonjwa sugu ya upungufu wa kinga ya mwili na magonjwa kama kansa.
ZITAMBUE SABABU KWA NINI MIMEA HII IMEPEWA JINA LA GIFT FROM GOD.
1. Aina hii ya uyoga ina Uwezo mkubwa wa kuondoa sumu mwilini na kurudisha uhalisia wa mwili wako upya.
-Una madini mengi ya Beta carotene(pro vitamin A) ambayo huimarisha uwezo wa macho yako kuona,ngozi yako,na mfumo wa mmeng'enyo wa chakula.
-Una madini ya vitamin E na C kwa wingi ambayo ni madini yenye nguvu kubwa sana katika kuondoa sumu mwilini mwako inayotokana na utendaji kazi wa shughuli za mwili wako.
-Una madini mengi sana ya Manganese, Selenium, Zinc na Co enzyme Q vyote hivi ni Muhimu kuhakikisha shughuli za mwili wako (physiological functions) zifanyike katika kiwango sahihi kinachostahili.
Hivyo madini haya ni muhimu sana mwilini mwako kwani upungufu wa madini haya na Co Q Kunaufanya mwili wako shughuli zake kutotendeka katika kiwango kinachostahili na upungufu huu unaweza kukusababishia maradhi mbali mbali ambayo hayana dalili maalumu na kusababisha afya yako kuyumba na kutopata suluhisho la matatizo yako
2. Aina hii ya uyoga ina Aina zote za Lishe aina zaidi ya 77 na ina aina zaidi ya vimeng'enya chakula (enzymes) zaidi ya 80, Ina aina zote za protini muhimu mwilini mwako unazostahili kuzipata ili shughuri za mwili zitendeke ipasavyo, Ina aina nzuri ya fats pia tafiti zinaonesha kuwa aina hii ya cordyceps ina wanga ambayo ni nzuri kwa kutengeneza mazingira mazuri shughuri zote za mwili zifanyike ipasavyo kwa kiwango cha juu. Utumiapo aina hii ya bidhaa unakuwa kama vile umekula chakula chenye lishe kamili.
Note:Cordyceps ni Aina pekee yenye uwezo mkubwa wa kukukinga na kansa aina yoyote na kuzuia ukuaji wa kansa yoyote ambayo imeanza kulingana na kitabu kilicho andikwa na Yoshida and Co Authors J 1989, Nakamura K and Co Authors 1999.
3. Cordyceps inakulinda wewe mwili wako dhidi ya visababishi vya mzio (allergy)ya aina yoyote na hivyo imekuwa ikitumika kutibu Aina yoyote ya Mzio au Allergy kwa binadamu.
Uwezo huu unatokana na kwa sababu aina hii ya mimea huongeza uwezo wa mwili wako wenyewe( self purifying mechanisms) kusafisha sumu mwilini zitokanazo na mabaki ya dawa za kemikali,mionzi ya madini mazito hasa watu wafanyao kazi kwenye machimbo ya madini ambapo kila siku miamba inachokozwa na kutoa mionzi mikali, Metali nzito ambazo ni sumu kama Mercury kwa waosha dhahabu na waishio kando kando na machimbo,sumu kwenye mfumo wa chakula, chumvi na mengineyo. Hivyo aina hii ya mimea inaupa mwili uwezo wa kusafisha yote hayo na mwili wako kuwa salama.
4. Cordyceps ni NATURAL STRONG ANTIBIOTICS.
Watu wengi tunajua kuwa katika dawa nyingi basi dawa moja wapo ambao ni famous sana huitwa penicillin (Pen V, Penicillin G) zote hizi zinatokana na uyoga.
Basi aina hii ya uyoga wa cordyceps tafiti zinaonesha ni dawa asili ambayo ina uwezo mkubwa sana wa kuangamiza bakteria kama pneumococci(husababisha Nemonia au kifua kubana na kukohowa),staphylococci (husababisha pia Nemonia na magonjwa ya ngozi yenye kutoa usaha na majipu), Streptoccoccus (Husababisha Nemonia na magonjwa ya Ngozi ) na nk
Pia inatibu maambukizi ya virus mbali mbali wasababishao mafua na kuvimba kwa matezi, Wanao shambulia Ini kwa mfano, Adenovifus,hepatitis virus aina zote, herpes(cold sores) na influenza virus (kikohozi kikavu kwa watoto, whooping cough)
KWA UJUMLA AINA HII YA MIMEA IMEKUWA IKITUMIWA KUTIBU MAGONJWA YOTE YA KIFUA KAMA KIFUA KUBANA,KIKOHOZI CHA MUDA MREFU, MAFUA SUGU, TONSILITIS AU TEZI KUVIMBA ZA KOONI NA NK.
5. Mbali na Kutibu maambukizi ya bakteria tu pia ina uwezo mkubwa sana ya kuwashambulia na kuwaua vimelea wote kwenye damu wanaoshambulia mfumo wa mkojo kama ifuatavyo
-Wakina baba ambao wana maumivu makali wakati wa kukojoa kutokana na maambukizi ya zinaa, na pia wana maumivu ya kibofu cha mkojo na figo kwa ujumla kiuno kukaza na kuuma (chronic cystitis and chronic pylonephritis)
-Wakina mama wanaotoka na uchafu mwingi wenye harufu kali na kiuno kuuma sana upande mmoja ambapo ni kiashiria kuwa maambukizi yako yamefika kwenye mirija ya uzazi(maambukizi yasababishwao na Trichomonas vaginalis) kama umekuwa ukiweka dawa za fungus bila mafanikio unaweza kutumia aina hii itakusaidia na unaweza pata mtoto.
NOTE: INASHAURIWA KIAFYA KUTUMIA AINA HII YA MIMEA KAMA UNATAKA UGONJWA WAKO USIJE UKAWA SUGU NA UKASHINDWA KUTIBU.
Napenda kukuambia kuwa baada ya kusoma historia fupi ya mimea hii basi niliamini kwa nini nchi kama china,japana,thailand nk hutumia sana virutubisho vilivyotengenezwa asilimia 100 kutokana na mimea hii.
Nimetumia nimeona matokeo yake, ni bidhaa adimu sana hapa Tanzania, kwa nchi zilizo endelea upatikana ya bidhaa hizi kutokana na ugumu wa kustawi kwa mimea hii na kustawi kwa msimu katika milima mikubwa upatikanaji wako ni gharama zaidi ya dhahabu.
KUTOKANA NA TECKNLOJIA KUKUA SASA UNAWEZA KUJIPATIA BIDHAA HII KATIKA MFUMO WA VIDONGE NA SIO UNGA WAKE PEKEE, UNGA WAKE UMEWEKWA KWENYE MFUMO WA VIDONGE KUMWEZESHA KILA MTU AWEZE KUNYWA KATIKA KIWANGO MAALUMU KITALAAMU,.KILA KIDONGE KINA 300mg Na ni 1000 % asili, na vinapatikana ofisini kwetu KOPO MOJA LINA VIDONGE 60 UNATUMIA KWA MWEZI MMOJA
INAFAA KUTUMIWA NA MTU YEYOTE MWENYE KUTAKA KUIMARISHA AFYA YAKE, NA PIA MWENYE KUTAKA KUJIKINGA NA MWENYE KUTIBU MARADHI MBALI MBALI
Unaweza wasiliana nasi
BIDHAA HII ITAFUKIA POPOTE ULIPO UNAWEZA TUMA SMS MOJA KWA MOJA
0787218159
0764218159 KUJIPATIA DAWA HII.
ADAH WAIGAMA
0 comments:
Post a Comment