U.T.I NI KUPATWA KWA MAAMBUKIZI KATIKA SEHEMU YOYOTE YA NJIA YA MKOJO NA HUSABABISHA MARADHI NA MATATIZO YA AINA MBALIMBALI.
MARANYINGI TUNAPOZUNGUMZIA U.T.I, HUWA TUNALENGA MAAMBUKIZI YANAYOSABABISHWA NA VIMELEA (BAKTERIA HASAHASA WAITWAO ESCHERICHIACOLI) AU CHOCHOTE KILE KINACHOWEZA KUSABABISHA UGONJWA HUU KUINGIA KATIKA NJIA YA MKOJO KUTOKEA NJE YA MWILI WA BINADAMU AU HATA NDANI YA MWILI KWA NJIA YA DAMU.
U.T.I NA KIREFU CHAKE URINARY TRACT INFECTION NI UGONJWA UNAOAMBATANA NA MFUMO MZIMA WA NJIA YA MKOJO KUTOKEA KWENYWE FIGO, MIRIJA YA MKOJO KUTOKEA KWENYE (URETER), KIBOFU (BLADDER), TUNDA (PROSTATE GLAND) NA NJIA YA KUPITIA MKOJO KWENYE UUME (URETHRA) JAPOKUWA HATA MAJI YA KUNYWA YENYE BACTERIA YASIYOCHEMSHWA HUWEZA KUSABABISHA UGONJWA WA UTI, UGONJWA HUU HUSUMBUA WATU WENGI HAPA NCHINI.
NANI ANAWEZA KUSHAMBULIWA/KUPATA UGONJWA WA UTI
U.T.I HUWEZA KUMPATA MTU YEYOTE BILA KUJALI JINSIA AU UMRI. HATA HIVYO, YAPO MAKUNDI AMBAYO KUTOKANA NA SABABU ZA KIBAIOLOGIA NA KINGA YA MWILI KUSHUKA AU KUWA NDOGO HUATHIRIWA ZAIDI NA TATIZO HILO. MAKUNDI HAYO NI PAMOJA NA WATOTO, WAZEE NA WANAWAKE.
U.T.I KWA WATOTO
WATOTO NI WATHIRIKA WAKUBWA WA U.T.I. VIJIDUDU HIVI VINAWEZA KUSABABISHA MAAMBUKIZI KUSAMBAA HADI KWENYE DAMU NA MWILI MZIMA NA HATIMAYE HUFA. MAUMBILE YA WATOTO NA UTEGEMEZI WALIO NAO WAKATI WA KUJISAIDIA, INAWEZA KUWA NI SABABU KUBWA KWA WAO KUPATA UGONJWA WA UTI.
TATIZO HILI LINALOSUMBUA WAZAZI WENGI. VILEVILE KINGA YAO YA MWILI HUWA BADO HAIJAKOMAA KUWEZA KUHIMILI UVAMIMIZI WA VIJIDUDU MBALIMBALI HASA HAWA BAKTERIA KWENYE MIILI YAO.
WANAWAKE KWA UPANDE WAO HUATHIRIWA NA UTI KUTOKANA NA MFUMO NZIMA WA MAUNGO YAO HASA YA MFUMO WA MKOJO KUWA NA URAHISI WA KUINGILIWA NA BACTERIA HAWA.
KWA MFANO, MRIJA WA MKOJO YAANI URETHRA KWA MWANAMKE NI MFUPI SANA UKILINGANISHA NA MWANAUME, HIVYO VIJIDUDU AU BACTERIA KUPATA URAHISI WA KUINGIA NDANI YA MWILI NA KUSABABISHA MADHARA.
WANAWAKE HUATHIRIKA ZAIDI
U.T.I NI TATIZO KUBWA KATIKA JAMII SIKU HIZI. KWA KIASI KIKUBWA TATIZO LA MARADHI HAYA HUATHIRI WANAWAKE ZAIDI KULIKO WANAUME. KARIBU KILA MWANAMKE KATIKA MAISHA YAKE ANAWEZA KUPATA UGONJWA HUU JAPO MARA MOJA NA KWA BAHATI MBAYA WENGINE HUUPATA KWA KUJIRUDIARUDIA.
HII HUTOKANA NA MAUMBILE NA MFUMO WA MAUMBILE YA KIBAIOLIGIA YA MWANAMKE AMBAO HUFANYA AWE NA HATARI ZAIDI YA KUPATA UTI.
VILEVILE KUJAMIIANA,TENA YA MARA KWA MARA NI MOJA YA SABABU ZINAZOWEZA KUCHANGIA MTU KUPATA UTI HASA KAMA WAHUSIKA WANA FANGASI AU BACTERIA SEHEMU ZA SIRI KWANI WANAWEZA KUPATA NAFASI YA KUPENYA NA KUINGIA KATIKA MFUMO WA NJIA YA MKOJO KWA URAHISI ZAIDI.
KWA WANAWAKE, FANGASI SEHEMU ZA SIRI IMEKUWA NI TATIZO KUBWA KWAO KWANI WAKIJIKITA SEHEMU ZA UKE NA MAENEO JIRANI HUWEKA MAZINGIRA YA MWANAMKE KUPATA UTI.
UTI KWA WANAUME
UGONJWA HUU KWA UPANDE WA WANAUME WENGI HUWA HAWAUPATI KUTOKANA NA MAUMBILE YAO NA MFUMO MZIMA WA MKOJO NA VIUNGO VYAKE LAKINI PIA HUPATA MAAMBUKIZI PIA YA UGONJWA WA U.T.I.
UGONJWA HUU NI HATARI ZAIDI KWA WATOTO WACHANGA KWASABABU HAWA WANA KINGA NDOGO SANA MWILINI.
WATU WENYE UPUNGUFU WA KINGA MWILINI KWA SABABU YEYOTE WANA UWEZEKANO WA KUKUMBWA NA MARADHI HAYA AU WALE WENYE UJAUZITO NA WALIO NA UGONJWA WA KISUKARI (DIABETES).
TIBA YA U.T.I
KWA WATOTO: TIBA YA KWANZA NIKUZINGATIA USAFI,PILI NI KUTUMIA NEPBABY DIAPERS AMBAZO ZINAUWEZO MKUBWA WA KUFYOZA MKOJO NA KUMWACHA MTOTO MKAVU,NA PIA ZINAKIASHIRIA KITAKACHOKUSAIDI KUJUA KUWA MTOTO ANAHITAJI KUBADILISHWA,TATU NI KUTUMIA WIPES ZA DINGDONG WAKATI WA KUMSAFISHA MTOTO NA PIA MTOTO ASAFISHWE KUANZIA MBELE KURUDI NYUMA ILI KUEPUSHA BAKTERIA KUHAMA KUTOKA NYUMA KWENDA MBELE.
KWA WANAWAKE: TIBA YA KWANZA NI USAFI WA MWILI NA NGUO ZA NDANI ZA WANAWAKE, PILI TUMIA NEPLILY PAD NA PANTLINER AMBAZO ZINA ANION ITAKAYOKUKINGA DHIDI YA MAAMBUKIZI NA KUKUTIBU HATA KAMA TAYARI UNA MAAMBUKIZI YA UTI,TATU NI KUTUMIA SABUNI YA LADY INTIMATE WASH AMABAYO IMETENGENEZA KWA MIMEA ASILI KABISA ITASAIDI KUKUKINGA NA BAKTERIA NA KUKUACHA UKIWA NA AMANI NA HARUFU NZURI WAKATI WOTE.
KWA WANAUME:WANAUME PIA WANATAKIWA KUZINGATIA USAFI PIA DAWA YA ALOE NA GONADEMA NI NZURI SANA KWA KUTIBU UTI KWA WANAUME.
WASILIANA NA MIMI KWA TIBA NA USHAURI ZAIDI KUPITIA
+255{0}787218159/764218159
adahygammer@gmail.com

0 comments:
Post a Comment