
Thursday, 10 September 2015



UMUHIMU WA UYOGA AINA YA CORDYCEPS SINENSIS KWA AFYA YAKO
Aina hii ya uyoga hupatikana katika milima mikubwa hasa nchini China,Japan,Thailand ambapo wakati wa kiangazi unga wa cordceps sinensis hudondoka na kudondokea mayai ya kipepeo baada ya hapo aina hii ya uyoga hukua kwa kasi wakati wa masika kwa kutumia mayai ya kipepeo kama lishe. Baada ya kukua kwa kasi aina hii ya uyoga hutengeneza na ku
Friday, 4 September 2015


ALOVERA AU SHUBIRI DAWA YA VIDONDA VYA TUMBO.
Alovera au shubiri kama tulivyozoe Kuita ni mmea unaopatika sehemu nyingi sana na dunia hasa sehemu zisizo na baridi.
Na kwa miaka mingi tumekua tukishuhudia katika jamii zetu mmea huu ukitumika kama dawa ya kutibu na kinga dhidi ya magonjwa kwa binadamu na kwa wanyama na ndege pia.
Kuna aina tofauti tofauti za alovera /shubiri ambazo Zinapatikana katika mazingira yetu tunayoishi na wengine hutumia kama maua katika nyumba zao na wengine hutumia kam
Wednesday, 26 August 2015
Tuesday, 18 August 2015



Habari mpendwa msomaji wa makala zangu za kilimo na afya natumaini u buheri wa afya na unaendelea na shughuli zako kama kawaida.
Leo tutaenda kujifunza aina za mbolea na matumizi yake hasa mbolea zile ambazo ni mbolea asilia ambazo hazina madhara katika mazao,ardhi na kwa binadamu pia.
🌴Kuna aina mbali mbali za mbolea kama mkulima umewahi kukutana nazo au umewahi kuzitumia kwa namna moja au nyin
Tuesday, 11 August 2015


Habari mpendwa msomaji wa makala zangu natumaini ubuheri wa afya.
Karibu tupate mwendelezo wa makala yetu ya uvimbe katika nyumba ya uzazi ya mwanamke.
Makala iliyopita ya sehemu ya kwanza tuliona uvimbe ni nini na unasababishwa na kitu gani na akina nani walioko hatarini kuupata uvimbe huo.
Leo tutaenda kuona namna bora ya kutibu uvimbe na tatizo likakoma kabisa na kutokurudi kabisa.
Kwa siku za hivi karibuni tumekua tukishuhudia wanawake wengi wakifanyiwa upasuaji ili kuondolewa uvimbe katika
Wednesday, 22 July 2015



BORESHA NA RUDISHA NGUVU ZA KIUME NDANI YA NDOA YAKO URUDISHE FURAHA YA NDOA!
Katika tafiti za sasa zinaonesha kuwa tatizo la kupungukiwa nguvu za kiume ni la kawaida maana tafiti zinaonesha kwamba ni asilimia 4 tu ya watu duniani wanafurahia tendo la ndoa ipasavyo wengine huishi kwa shida kabisa bila kushiriki tendo la ndoa ya kushiriki chini ya kiwango.
Mazingira magumu ya kazi, vyakula tunavyo
Subscribe to:
Posts (Atom)